DUNIA inashuhudia kile
ambacho tunaweza kabisa kukiita ugaidi unaofanywa na dola ’ State Terrorism’.
Taifa la Israel linafanya vitendo vya ugaidi dhidi ya Wapalestina ambao
kimsingi wanagombea ardhi.
Lakini hili la wapalestina na Wayahudi lina historia inayoweza kusomwa hata kwenye Biblia. Na tuiangalie;
Kwa zaidi ya miaka 2000
iliyopita kikundi cha Wayahudi kilipambana vikali dhidi ya himaya ya Waroma
katika iliyokuwa Palestina ya zamani. Kikundi hiki kiliitwa Salote, wenye
hasira kali ikiwa na maana pia kuwa kilikuwa ni kikundi cha kisiasa na
kidini chenye imani kali. Kikundi hiki kilitaka Wayahudi wote wazingatie
yote kulingana na maagizo ya dini yao.
Wasalote walipambana
kisiasa dhidi ya dola ya wavamizi ya Waroma. Wasalote waliongozwa na
Myahudi Galileo ambaye amri yake ya kuwataka wafuasi wake kugoma kulipa
kodi ndio ilikuwa chachu ya kuanzisha mapambano ya kigaidi dhidi ya
wavamizi wa Kiroma. Jambo hili linashuhudiwa pia katika maandiko matakatifu
ya Biblia juu ya kodi katika Agano Jipya.
Hatma ya Wayahudi
haikujulikana , lakini kiongozi mpya alijitokeza na kuwaahidi
Wayahudi ukombozi kutoka kwenye mikono ya wavamizi. Hatimaye, baada
ya machafuko yaliyodumu kwa miaka sabini, Wasolote waliangamizwa
baada ya Jerusalem kutekwa na hekalu kuangamizwa. Wasalote walirudi nyuma
hadi kwenye vilima vya Masada.
Baada ya kushindwa huko
kwa Wasalote, Wasalote wapatao elfu moja walijiua kwa pamoja. Wasalote
waliwaua kwanza wanawake , watoto na wazee, baadae wanaume nao walijiua
kabla ya Waroma hawajavitwaa vilima hivyo. Inasadikiwa tukio hili lilitokea
mwaka 73 baada ya Yesu Kristo.
Wa-Assassine
Miaka elfu moja baadae
lilijitokeza kundi jingine la kigaidi, hawa waliitwa Assassine. Hawa
walikuwa wafuasi wa dhehebu la dini ya Kiisamu lililokuwa na makao yake
makuu katika Iran ya leo. Kutoka huko Iran walimtuma kiongozi wao
aliyeitwa Hassan Ibn Sabah, aende katika Mashariki ya Kati yote.
Huko akafanye mauaji ya kulipwa.
Wafuasi wa dhehebu hili
walifahamika pia kwa kuvuta bangi kabla hawajafanya tendo la
kigaidi kwa jina la Allah. Hapa tunaona neno ”Assassin” kwa Kiingereza na
hata kwa Kifaransa lina maana ya ”kuua” ”Assasination” kwa Kiingereza, na
kwa lugha ya kiarabu linamaanisha ” Mla-bangi”. Wa-assassin walikuwa ni
Waislamu wa madhehebu ya Shia. Vitendo vyao vya kigaidi viliwalenga zaidi
Wasuni waliochukua sehemu kubwa ya Persia.
Kunako mwaka 1200
vitendo vya kigaidi vya Wa-assasasine vilikoma baada ya mjukuu wa Djingis
Khan kuangamiza ngome na makao makuu ya Wa-assassine. Na ugaidi ukaanza
kuenea hata katika pande mbali za dunia.
Tuyaangalie Mapinduzi ya
Ufaransa kama mfano mwingine uliotokana na ugaidi wa dola.
Kwa kawaida Mapinduzi ya
Ufaransa huangaliwa kwa kutazama tarehe ile Wafaransa walipovuka
mstari wa Basti, tarehe 14 Julai 1789. Kuna historia yenye kuelezea tukio
lile la kuvamia na kuvuka mstari ule. Kiuchumi taifa la Ufaransa lilikuwa
katika wakati mgumu baada ya kushiriki vita kadhaa vyenye gharama nyingi na pia
hali ya ufalme wa nchi kutokulipa kodi ikiwemo kufanya anasa ya kupindukia.
Hali ya uchumi mbaya na mlipuko wa bei za bidhaa baada ya vita vya gharama
nyingi ndio iliyopelekea wananchi kuanzisha mapinduzi yale.
Mfalme alikamatwa
na kufungwa gerezani baada ya jaribio lake la kutoroka nchi kushindwa. Kati ya
mwaka 1792 na Julai 1774 Ufaransa ilikuwa chini ya himaya ya
Maximilien Robespierre. Ulikuwa ni utawala dhalimu na uliosambaza hofu kuu kwa
watu wake, ” La Grande terreur” kwa lugha ya Kifaransa. Lengo hasa la kusambaza
hofu ile ilikuwa kuhakikisha madaraka ya serikali ile ya kimapinduzi
yanabaki chini ya walioshika himaya ya dola.
Kilikuwa ni kipindi
ambacho watu walikuwa na hofu hata ya kunong’ona kuishutumu serikali. Watoa
habari walikuwepo kila kona na hata ndani ya familia. Inasadikiwa
Wafaransa takribani 40 000 walinyongwa bila hata kufikishwa mahakamani.
Kosa kubwa wakati huo ambalo mtu alihukumiwa kunyongwa ni vitendo vyenye
mwelekeo wa kupinga mapinduzi.
Magaidi wa Kiyahudi
Mwanzoni mwa miaka ya
1900, Mazayuni wa Kiyaudi walianzisha ujenzi wa makazi ya Wayahaudi
katika iliyokuwa Palestina ya zamani. Palestina iliyokuwa chini ya himaya
ya Osmani. Baada ya vita kuu ya kwanza, Palestina ilikuwa chini ya
udhamini wa Waingereza.
Baada ya kampeni ya
vikundi vya kishawishi vya Wayahudi , Serikali ya Uingereza ilitangaza kuwepo
kwa taifa la Kiyahudi. Lakini hata hivyo, serikali ya Uingereza
ilionesha pia kutopendelea mradi ule wa ujenzi wa makazi ya Wayahudi.
Hali ile ilipelekea
kuanzishwa kwa vikundi kadhaa vya kigaidi vya Wayahudi vilivyopambana na
Waingereza. Wakati wa Vita Kuu ya pili ya dunia , vingi ya vikundi hivi
vilisimamisha harakati zao za kigaidi.
Baada ya Vita Kuu ya pili
ya Dunia , vikundi hivyo vilianzisha tena mashambulizi ya kigaidi kutetea
kuwapo kwa taifa la Wayahudi . Moja ya shambulizi la kigaidi la Wayahudi ni
dhidi ya Hoteli ya Waingereza iliyojulikana kama King David Hotel katika mji wa
Jerusalem. Jengo la hoteli liliangamizwa na watu 89 waliuawa.
Baada ya Vita Kuu ya pili
ya Dunia wahamiaji wengi zaidi wa Kiyahudi waliendelea kuingia
katika Palestina iliyokuwa katika udham
ini wa Waingereza. Lengo la
kisiasa la Wayahudi la kuanzishwa kwa taifa la Uyahudi lilipelekea
kuanzishwa kwa vikundi zaidi vya kigaidi vyenye mitazamo ya kitaifa.
Viwili kati ya vikundi hivyo ni Irgun na Stern ambavyo vilitumia mbinu za
kigaidi katika kuendesha harakati zao. Miongoni mwa mbinu hizo ni matumizi ya
mabomu ya barua.Tangu mwezi
Septemba 1947 hadi kutangazwa kwa taifa la Israel , mwezi Mei 1948
vikundi vya Irgun na Stern vilijulikana sana kwa matumizi yake ya mabomu ya
barua.
Kabla na hata baada ya
kutangazwa kwa taifa la Israel, vikundi vya Irgun na Stern na
baadae taifa la Israel vimekuwa vikiendesha mashambulizi ya kijeshi dhidi
ya Wapalestina. Vitendo hivi viangaliwe kama matendo ya kigaidi dhidi ya watu
wa Palestina , ambapo lengo kuu ni kuwafukuza wale wote wasio –Wayahudi.
Katika kufankisha malengo
haya, Israel imeendesha mashambulizi mengi ya kigaidi katika vijiji na
maeneo ya Waarabu. Takribani watu laki saba walikimbia makazi yao katika
vita vya awali kati ya Waarabu na Waisrael. Watu hawa hawakuruhusiwa
kurudi makwao. Hii ndio sababu Wapalestina wengi wanaishi kwenye makambi ya
wakimbizi ndani ya ardhi yao na hata katika nchi jirani kama vile
Lebanon.
Wa- Salote
Kwa zaidi ya miaka 2000
iliyopita kikundi cha Wayahudi kilipambana vikali dhidi ya himaya ya Waroma
katika iliyokuwa Palestina ya zamani. Kikundi hiki kiliitwa Salote.
Ni wenye hasira kali ikiwa na maana pia kuwa kilikuwa ni kikundi
cha kisiasa na kidini chenye imani kali. Kikundi hiki kilitaka Wayahudi
wote wazingatie yote kulingana na maagizo ya dini yao.
Wasalote
walipambana kisiasa dhidi ya dola ya wavamizi ya Waroma.
Wasalote
waliongozwa na Myahudi Galileo, ambaye amri yake ya kuwataka wafuasi
wake kugoma kulipa kodi ndio ilikuwa chachu ya kuanzisha mapambano
ya kigaidi dhidi ya wavamizi wa Kiroma. Jambo hili linashuhudiwa pia katika
maandiko matakatifu ya Biblia juu ya kodi katika Agano Jipya.
Hatma ya Wayahudi
haikujulikana , lakini, kiongozi mpya alijitokeza na kuwaahidi
Wayahudi ukombozi kutoka kwenye mikono ya wavamizi. Hatimaye, baada
ya machafuko yaliyodumu kwa miaka sabini, Wasolote waliangamizwa
baada ya Jerusalem kutekwa na hekalu kuangamizwa. Wasalote walirudi nyuma
hadi kwenye vilima vya Masada.
Baada ya kushindwa
huko kwa Wasalote, Wasalote wapatao elfu moja walijiua kwa pamoja.
Wasalote waliwaua kwanza wanawake , watoto na wazee, baadae wanaume nao
walijiua kabla ya Waroma hawajavitwaa vilima hivyo.
Inasadikiwa tukio hili
lilitokea mwaka 73 baada ya Yesu Kristo.
Wa-Assassine
Miaka elfu moja
baadae lilijitokeza kundi jingine la kigaidi, hawa waliitwa Assassine.
Hawa walikuwa wafuasi wa dhehebu la dini ya Kiisamu lililokuwa na makao
yake makuu katika Iran ya leo. Kutoka huko Iran walimtuma kiongozi wao
aliyeitwa Hassan Ibn Sabah, aende katika Mashariki ya Kati yote.
Huko akafanye mauaji ya kulipwa.
Wafuasi wa dhehebu
hili walifahamika pia kwa kuvuta bangi kabla hawajafanya tendo la
kigaidi kwa jina la Allah. Hapa tunaona neno ”Assassin” kwa Kiingereza na
hata kwa Kifaransa, lina maana ya ”kuua.”
”Assasination” kwa
Kiingereza, na kwa lugha ya kiarabu linamaanisha ”
Mla-bangi”. Wa-assassin
walikuwa ni Waislamu wa madhehebu ya Shia. Vitendo vyao vya kigaidi
viliwalenga zaidi Wasuni waliochukua sehemu kubwa ya Persia.
Kunako mwaka
1200 vitendo vya kigaidi vya Wa-assasasine vilikoma baada ya
mjuukuu wa Djingis Khan kuangamiza ngome na makao makuu ya Wa-assassine.
Utawala wa hofu
1773-94
Kwa kawaida
Mapinduzi ya Ufaransa uangaliwa kwa kutazama tarehe ile Wafaransa
walipovuka mstari wa Basti. Ni tarehe 14 Julai 1789. Kuna historia
yenye kuelezea tukio lile la kuvamia na kuvuka mstari ule. Kiuchumi taifa la
Ufaransa lilikuwa katika wakati mgumu baada ya kushiriki vita kadhaa vyenye
gharama nyingi na pia hali ya ufalme wa nchi kutokulipa kodi ikiwemo kufanya
anasa ya kupindukia. Hali ya uchumi mbaya na mlipuko wa bei za bidhaa baada ya
vita vya gharama nyingi ndio iliyopelekea wananchi kuanzisha mapinduzi yale.
Mfalme
alikamatwa na kufungwa gerezani baada ya jaribio lake la kutoroka nchi
kushindwa. Kati ya mwaka 1792 na Julai 1774 Ufaransa ilikuwa chini
ya himaya ya Maximilien Robespierre. Ulikuwa ni utawala dhalimu na
uliosambaza hofu kuu kwa watu wake, ” La Grande terreur” kwa lugha ya
Kifaransa. Lengo hasa la kusambaza hofu ile ilikuwa kuhakikisha madaraka ya
Serikali ile ya kimapinduzi yanabaki chini ya walioshika himaya ya dola.
Kilikuwa ni kipindi
ambacho watu walikuwa na hofu hata ya kunong’ona kuishutumu serikali. Watoa
habari walikuwepo kila kona na hata ndani ya familia. Inasadikiwa, kuwa
Wafaransa takribani 40 000 walinyongwa bila hata kufikishwa mahakamani.
Kosa kubwa wakati huo ambalo mtu alihukumiwa kunyongwa ni vitendo vyenye
mwelekeo wa kupinga mapinduzi.
Magaidi wa Kiyahudi
Mwanzoni mwa miaka
ya 1900, Mazayuni wa Kiyaudi walianzisha ujenzi wa makazi ya Wayahaudi
katika iliyokuwa Palestina ya zamani. Ni Palestina iliyokuwa chini ya
himaya ya Ottoman. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza, Palestina ilikuwa chini
ya udhamini wa Waingereza.
Baada ya kampeni
ya vikundi vya kishawishi vya Wayahudi , Serikali ya Uingereza ilitangaza
kuwepo kwa taifa la Kiyahudi. Lakini, Serikali ya Uingereza
ilionesha pia kutopendelea mradi ule wa ujenzi wa makazi ya Wayahudi.
Hali ile ilipelekea
kuanzishwa kwa vikundi kadhaa vya kigaidi vya Wayahudi vilivyopambana na
Waingereza. Wakati wa Vita Kuu ya pili ya dunia , vingi ya vikundi hivi
vilisimamisha harakati zao za kigaidi.
Baada ya Vita Kuu ya pili
ya Dunia , vikundi hivyo vilianzisha tena mashambulizi ya kigaidi kutetea
kuwapo kwa taifa la Wayahudi . Moja ya shambulizi la kigaidi la Wayahudi ni
dhidi ya Hoteli ya Waingereza iliyojulikana kama King David Hotel katika mji wa
Jerusalem. Jengo la hoteli liliangamizwa na watu 89 waliuawa.
Baada ya Vita Kuu
ya Pili ya Dunia wahamiaji wengi zaidi wa Kiyahudi waliendelea kuingia
katika Palestina iliyokuwa katika udhamini wa Waingereza. Lengo la
kisiasa la Wayahudi la kuanzishwa kwa taifa la Uyahudi lilipelekea kuanzishwa
kwa vikundi zaidi vya kigaidi vyenye mitazamo ya kitaifa. Viwili kati ya
vikundi hivyo ni Irgun na Stern. Vikundi ambavyo vilitumia mbinu za
kigaidi katika kuendesha harakati zao. Miongoni mwa mbinu hizo ni matumizi ya
mabomu ya barua.
Tangu Septemba 1947
hadi kutangazwa kwa taifa la Israel, Mei 1948, vikundi vya Irgun na Stern
vilijulikana sana kwa matumizi yake ya mabomu ya barua.
Kabla na hata baada ya
kutangazwa kwa taifa la Israel, vikundi vya Irgun na Stern, na
baadae taifa la Israel, vimekuwa vikiendesha mashambulizi ya kijeshi
dhidi ya Wapalestina. Vitendo hivi viangaliwe kama matendo ya kigaidi dhidi ya
watu wa Palestina , ambapo, lengo kuu ni kuwafukuza wale wote wasio –Wayahudi.
Katika kufankisha
malengo haya, Israel imeendesha mashambulizi mengi ya kigaidi katika
vijiji na maeneo ya Waarabu. Takribani watu laki saba walikimbia makazi
yao katika vita vya awali kati ya Waarabu na Waisrael.
Watu hawa hawakuruhusiwa
kurudi makwao. Hii ndio sababu Wapalestina wengi wanaishi kwenye makambi ya
wakimbizi ndani ya ardhi yao na hata katika nchi jirani kama vile Lebanon.
- See more at: http://www.raiamwema.co.tz/al-shabaab-na-chimbuko-la-ugaidi#sthash.b4l7qrRG.dpufct 2013
TUMESHAJADILI maana ya
ugaidi na aina za ugaidi kwa kuzitolea mifano. Hapa tutajadili juu
ya chimbuko la ugaidi na kwa kutoa mifano. Na kama nilivyobainisha huko nyuma,
tutaanza pia kuona mahusiano ya mwezi Septemba na vitendo vya kigaidi.
Wa-Salote
Kwa zaidi ya miaka 2,000
iliyopita, kikundi cha Wayahudi kilipambana vikali dhidi ya himaya ya Waroma
katika iliyokuwa Palestina ya zamani. Kikundi hiki kiliitwa Salote. Ni
wenye hasira kali, ikiwa na maana pia kuwa kilikuwa ni kikundi cha
kisiasa na kidini chenye imani kali. Kikundi hiki kilitaka Wayahudi wote
wazingatie yote kulingana na maagizo ya dini yao.
Wasalote walipambana
kisiasa dhidi ya dola ya wavamizi ya Waroma.
Wasalote
waliongozwa na Myahudi Galileo, ambaye amri yake ya kuwataka wafuasi
wake kugoma kulipa kodi ndio ilikuwa chachu ya kuanzisha mapambano ya
kigaidi dhidi ya wavamizi wa Kiroma. Jambo hili linashuhudiwa pia katika maandiko
matakatifu ya Biblia juu ya kodi katika Agano Jipya.
Hatma ya Wayahudi
haikujulikana, lakini kiongozi mpya alijitokeza na kuwaahidi
Wayahudi ukombozi kutoka kwenye mikono ya wavamizi. Hatimaye, baada
ya machafuko yaliyodumu kwa miaka sabini, Wasolote waliangamizwa baada ya
Jerusalem kutekwa na hekalu kuangamizwa. Wasalote walirudi nyuma
hadi kwenye vilima vya Masada.
Baada ya kushindwa huko
kwa Wasalote, Wasalote wapatao elfu moja walijiua kwa pamoja. Wasalote
wanaume waliwaua kwanza wanawake, watoto na wazee, kisha wao nao kujiua kabla
ya Waroma hawajavitwaa vilima hivyo. Inasadikiwa tukio hili lilitokea mwaka 73
baada ya Yesu Kristo.
Wa-Assassine
Miaka elfu moja baadaye
lilijitokeza kundi jingine la kigaidi. Hawa waliitwa Assassine. Hawa
walikuwa wafuasi wa dhehebu la dini ya Kiisamu lililokuwa na makao yake
makuu katika Iran ya leo. Kutoka huko Iran, walimtuma kiongozi wao
aliyeitwa Hassan Ibn Sabah, aende katika Mashariki ya Kati yote. Huko
akafanye mauaji ya kulipwa.
Wafuasi wa dhehebu hili
walifahamika pia kwa kuvuta bangi kabla hawajafanya tendo la
kigaidi kwa jina la Allah. Hapa tunaona neno ‘Assassin’ kwa Kiingereza na
hata kwa Kifaransa, lina maana ya ‘kuua’ kwa maana ya ‘Assasination’ kwa
Kiingereza, na kwa Kiarabu linamaanisha ‘Mla-bangi.’ Wa-assassin walikuwa ni
Waislamu wa madhehebu ya Shia. Vitendo vyao vya kigaidi viliwalenga zaidi
Wasuni waliochukua sehemu kubwa ya Persia.
Kunako mwaka
1,200 vitendo vya kigaidi vya Wa-assasasine vilikoma baada ya mjukuu
wa Djingis Khan kuangamiza ngome na makao makuu ya Wa-assassine.
Utawala wa hofu 1773-94
Kwa kawaida Mapinduzi ya
Ufaransa, huangaliwa kwa kutazama tarehe ile ambayo Wafaransa walivuka
mstari wa Basti, yaani Julai 14, 1789. Kuna historia yenye kuelezea tukio
lile la kuvamia na kuvuka mstari ule.
Kiuchumi, taifa la Ufaransa lilikuwa katika wakati mgumu baada
ya kushiriki vita kadhaa vyenye gharama nyingi na pia hali ya ufalme wa nchi
kutokulipa kodi, ikiwemo kufanya anasa za kupindukia. Hali ya uchumi mbaya na mlipuko wa bei za bidhaa baada
ya vita vya gharama nyingi, ndio iliyopelekea wananchi kuanzisha mapinduzi
yale.
Mfalme alikamatwa na
kufungwa gerezani baada ya jaribio lake la kutoroka nchi kushindwa. Kati ya
mwaka 1792 na 1774, Ufaransa ilikuwa chini ya himaya ya Maximilien Robespierre.
Ulikuwa ni utawala
dhalimu na uliosambaza hofu kuu kwa watu wake, ‘La Grande terreur’ kwa lugha ya
Kifaransa. Lengo hasa la kusambaza hofu ile, ilikuwa ni kuhakikisha madaraka ya
Serikali ile ya kimapinduzi yanabaki chini ya walioshika himaya ya dola.
Kilikuwa ni kipindi ambacho watu walikuwa na hofu hata ya kunong’ona kuishutumu
Serikali. Watoa habari walikuwepo kila kona, na hata ndani ya
familia. Inasadikiwa kuwa Wafaransa takriban 40,000 walinyongwa bila
hata kufikishwa mahakamani. Kosa kubwa wakati huo ambalo mtu alihukumiwa
kunyongwa, ni vitendo vyenye mwelekeo wa kupinga mapinduzi.
Magaidi wa Kiyahudi
Mwanzoni mwa miaka ya
1900, Mazayuni wa Kiyahudi walianzisha ujenzi wa makazi ya Wayahudi katika
iliyokuwa Palestina ya zamani. Ni Palestina iliyokuwa chini ya himaya ya
Ottoman. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza, Palestina iliwekwa chini ya udhamini wa
Waingereza.
Baada ya kampeni ya
vikundi vya kishawishi vya Wayahudi, Serikali ya Uingereza ilitangaza kuwepo
kwa taifa la Kiyahudi. Lakini, Serikali ya Uingereza ilionyesha pia
kutopendelea mradi ule wa ujenzi wa makazi ya Wayahudi.
Hali ile ilisababisha
kuanzishwa kwa vikundi kadhaa vya kigaidi vya Wayahudi vilivyopambana na
Waingereza. Wakati wa Vita Kuu ya pili ya dunia, vingi ya vikundi hivyo
vilisimamisha harakati zao za kigaidi.
Baada ya Vita Kuu ya pili
ya Dunia, vikundi hivyo vilianzisha tena mashambulizi ya kigaidi kutetea kuwepo
kwa taifa la Wayahudi. Moja ya shambulizi la kigaidi la Wayahudi, ni dhidi ya
Hoteli ya Waingereza iliyojulikana kama King David Hotel katika mji wa
Jerusalem. Jengo la hoteli hiyo liliangamizwa na watu 89 waliuawa.
Baada ya Vita Kuu ya Pili
ya Dunia, wahamiaji wengi zaidi wa Kiyahudi waliendelea kuingia
katika Palestina iliyokuwa katika udhamini wa Waingereza. Lengo la
kisiasa la Wayahudi la kuanzishwa kwa taifa la Uyahudi, lilisababisha
kuanzishwa kwa vikundi zaidi vya kigaidi vyenye mitazamo ya kitaifa.
Viwili kati ya vikundi
hivyo, ni pamoja na Irgun na Stern, vikundi ambavyo vilitumia mbinu za kigaidi
katika kuendesha harakati zao. Miongoni mwa mbinu hizo, ni pamoja na matumizi
ya mabomu ya barua.
Tangu Septemba 1947
hadi kutangazwa kwa taifa la Israel, Mei 1948, vikundi vya Irgun na Stern
vilijulikana sana kwa matumizi yake ya mabomu yake kwa njia za barua. Kabla na
hata baada ya kutangazwa kwa taifa la Israel, vikundi vya Irgun na
Stern, na baadaye taifa la Israel, vimekuwa vikiendesha mashambulizi
ya kijeshi dhidi ya Wapalestina. Vitendo hivyo viangaliwe kama matendo ya
kigaidi dhidi ya watu wa Palestina, ambapo, lengo kuu ni kuwafukuza wale wote
wasio Wayahudi. Katika kufanikisha malengo haya, Israel imeendesha
mashambulizi mengi ya kigaidi katika vijiji na maeneo ya Waarabu. Takriban watu
laki saba walikimbia makazi yao katika vita ya awali kati ya Waarabu na
Waisrael. Watu hawa hawakuruhusiwa kurudi makwao. Hii ndiyo sababu
Wapalestina wengi wanaishi kwenye makambi ya wakimbizi ndani ya ardhi yao, na
hata katika nchi jirani kama vile Lebanon.
No comments:
Post a Comment